SERIKALI KUSIMAMIA UANZISHWAJI VITUO VYA MALEZI VYA KIJAMII

Picha zote na KItengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu-Dodoma Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kupitia Halmashauri zote nchini itaendelea kuhamasisha, kuratibu na kusimamia uanzishwaji na uendeshaji wa vituo vya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto  kwa kushirikisha wazazi, walezi na jamii kwa ujumla. Hayo yamesemwa jijini hapa na